Wednesday, May 19, 2010

Prof. dr. Maarten Mous

Kitururu, kwasababu yako nimeamua kuweka ladha kidogo ya lugha ya Kiiraqw maana ulisema hukuwa na picha halisi ya lugha hii. Kwa kifupi hii text ya Kiiraqw ni matunda ya Dissertation ya profesa Maarten ambaye alifanya PhD katika eneo la Iraqw grammar mnamo mwaka 1992, profesa Maarten ni Mdachi na anafanya kazi University of Leiden huko Netherlands, binafsi nimeshawahi kuwasiliana naye kwa email. Nadhani Kitururu hapo ndipo utakapozidi kuchanganyikiwa na hoja yako ya msingi wakati unachangia mawazo kwenye posti yangu ya awali.


No comments: